Wednesday, March 27, 2013

NAFASI ZA MASOMO YA CERTIFICATE, DIPLOMA NA DIGREE


JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA
WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
         MAOMBI YA NAFASI ZA MAFUNZO MWAKA WA MASOMO 2013/14

Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii anakaribisha maombi ya kujiunga na kozi mbalimbali zinazotolewa na Wizara kwa mwaka wa masomo 2013/2014.

1.      Kozi zinazotangazwa ni:  

A.    Ngazi ya Stashahada:
(i)             Afisa Afya ya Mazingira (Assistant Health Officer)
(ii)           Fiziotherapia (Physiotherapy)
(iii)          Fundi Sanifu Meno (Dental Laboratory Technologist)
(iv)          Mteknolojia Maabara (Laboratory Technician)
(v)           Optometria (Optometry)
(vi)          Tabibu (Clinical Officer)
(vii)        Tabibu Meno (Dental Therapist)
(viii)       Uuguzi Daraja ‘’A’’ (Diploma in Nursing)

B.    Ngazi ya Cheti

(i)             Fundi Sanifu Maabara Msaidizi (Laboratory Assistants)
(ii)           Mtunza kumbukumbu za Afya (Health Record Technicians)
(iii)          Tabibu Msaidizi (Clinical Assistants)
(iv)          Uuguzi Daraja ‘’B’’ (Certificate in Nursing)

C.    Mafunzo ya Tabibu kwa njia ya masafa (Distance Learning) kwa wale waliohitimu mafunzo ya Tabibu Msaidizi mwaka 2009.

2.     Muda wa Mafunzo:
(i)             Miaka mitatu kwa kozi za Stashahada
(ii)           Miaka miwili kwa kozi za Ngazi ya cheti

3.     Sifa za Muombaji:
Waombaji watarajali (Pre-service):
(i)             Awe raia wa Tanzania
(ii)           Awe amemaliza kidato cha nne au sita kati ya mwaka 2008 na kuendelea
(iii)          Ufaulu wa kidato cha nne uwe wa kiwango kisichopungua alama ya ‘C’,  katika  masomo ya Biologia na Kemia , na alama ‘D’ kwa somo la Fizikia kwa kozi za Stashahada . Alama hizi zipatikane katika kikao kimoja tu cha mitihani.
(iv)          Cheti chake cha kidato cha nne, kionyeshe ufaulu usiopungua point 28 kwa kozi za cheti. Aidha ni lazima awe na ufaulu usiopungua (minimum) alama ‘D’, kwa masomo ya Biologia, Kemia na Fizikia. Alama hizi zipatikane katika kikao kimoja tu cha mtihani.
(v)           Kwa wale waliomaliza kidato cha sita na wanaohitaji kujiunga na mafunzo ya stashahada, wawe na alama isiyopungua ‘E’,  kwa masomo ya Biologia, Kemia na Fizikia. Ufaulu huu uwe umepatikana katika kikao kimoja tu cha  mtihani.
(vi)          Kufaulu somo la Kiingereza na Hisabati ni sifa ya nyongeza.
Waombaji wa Mafunzo ya Masafa (Distance learning:
A.     Wanaotakiwa kujiunga na Bridging course kabla ya kuendelea na masomo ya NTA 6 (Clinical Officer)
               i.         Awe amemaliza kidato cha nne na kupata ufaulu wa angalau alama “D” katika masomo manne
              ii.         Awe na cheti cha kuhitimu mafunzo ya waganga wasaidizi vijijini mwaka 1999 na kurudi nyuma.
B.     Tabibu wasaidizi (NTA 5) Wanaotakiwa kuendelea na masomo ya NTA 6 (Clinical Officer)
               i.         Awe amemaliza kidato cha nne na kupata ufaulu wa angalau alama “D” katika masomo manne.
              ii.         Awe na cheti cha kuhitimu mafunzo ya Tabibu wasaidizi (NTA 5) mwaka 2009.
4.     Utaratibu wa kutuma maombi:
(i)    Fomu za maombi zitapatikana kwa wakuu wa kanda za mafunzo zilizoainishwa hapo chini (rejea kipengele Na. viii) chini, Waganga Wakuu wa wilaya na wakuu wa vyuo vya afya vilivyo chini ya Wizara.
(ii)  Waombaji wote watalipia fomu kwa sh. 15, 000/=. Risiti halisi ya Benki kwa ajili ya malipo haya, iwasilishwe pamoja na fomu za maombi. Kiasi hiki cha fedha hakitarejeshwa (Non refundable).
(iii)Malipo  yaingizwe kwenye akaunti ,Health Service fund’, Account No. 0111-030-12059 NBC – CORPORATE BRANCH.
(iv)Maombi yatakayopokelewa na kufanyiwa kazi, ni yale yatakayoambatanishwa na risiti halisi ya malipo ya Benki,  inayoonyesha kiwango cha malipo kilichotajwa hapo juu.
(v)  Maombi ambayo hayataambatanishwa na hati ya malipo ya Benki(Pay  in Slip) na kivuli cha cheti cha Baraza la Mitihani cha kuhitimu Elimu ya Sekondari, hayatafanyiwa kazi.
(vi)Maombi yote yatapokelewa kupititia kanda za mafunzo baada ya malipo kufanyika kwenye akaunti iliyotajwa hapo juu.
(vii)      Fomu za maombi zijazwe na zitumwe kwa Katibu Mkuu,  wizara ya afya na ustawi wa jamii,kupitia anwani za wakuu wa kanda kulingana na eneo muombaji alipo.
(viii)    Anwani za Wakuu wa Kanda ni kama zilivyoainishwa hapa chini:-
a)      Mratibu wa Kanda ya Mashariki (Mikoa ya Morogoro na Pwani) - Chuo cha Mafunzo ya Afya ya Jamii – S.L.P. 1060, Morogoro.
b)     Mratibu wa Kanda ya Magharibi (Mikoa ya Kigoma na Tabora) – Chuo cha Tabibu Wasaidizi, S.L.P. 458, Kigoma
c)      Mratibu wa Kanda ya Kusini (Mikoa ya Lindi na Mtwara)– Chuo cha Tabibu, S.L.P. 86, Mtwara.
d)     Mratibu wa Kanda ya Kaskazini (Mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga)– Chuo cha CEDHA, S.L.P.1162, Arusha..
e)      Mratibu wa Kanda ya Nyanda za Juu kusini Magharibi (Mikoa ya Rukwa na Mbeya) – Chuo cha Madaktari Waasaidizi, S.L.P. 1142, Mbeya.
f)       Mratibu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini (Mikoa ya Ruvuma na Iringa)– Chuo cha Afya ya Jamii, S.L.P. 235, Iringa.
g)     Mratibu wa Kanda ya Kati (Mikoa ya Singida na Dodoma) – Chuo cha Uuguzi Mirembe, S.L.P. 595, Dodoma.
h)     Mratibu wa Kanda ya Ziwa (Mikoa ya Mwanza, Mara, Kagera na Shinyanga) – Chuo cha Madaktari Wasaidizi, S.L.P. 11351, Mwanza.
i)      Mkurugenzi wa Taasisi za Sayansi Shiriki za Afya Muhimbili, S.L.P 65005, Dar-es-salaam.

5.     Utaratibu wa kutoa taarifa kwa waliochaguliwa:
a)     Wizara itakuwa na wajibu wa kuwataarifu wale wote watakaofanikiwa kuchaguliwa kujiunga na kozi mbalimbali kupitia magazeti, ‘website’ ya Wizara na mbao za matangazo Wizarani.  
b)     Taarifa hizo zitatumwa pia kwenye kanda za mafunzo kama zilivyoainishwa hapo juu.

6.     Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30 Aprili, 2013.
7.     Muhula wa masomo unatarajiwa kuanza tarehe 1 Oktoba, 2013.

Imetolewa na:
Katibu Mkuu,
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,
S.L.P. 9083,
Dar es Salaam.


CHUO CHA MADINI

1.Are a form four leaver and obtained at least 4 Ds in your final examination? Applu now to Study Basic Certificate in Exploration and Mining Geology at a special tuition fee of TZS. 1,4000,000  from TZS. 1,850,000/= for academic year that start in July 2013.
Offer deadline:  31st May 2013 After that date original fees will apply
The college located at Mwadui Mines and registered by NACTE with REG/EOS/041P
Applicants must have at least 4 D from their form four results.
Application forms can be downloaded at college website, request via email or collected directly from the college
Email applicants write on subject (“Application for Exploration and Mining Geology Certificate Course July 2013”)
Please visit our website for more information www.esis.ac.tz or contact us by +255 752 990 586
You can also follow us on facebook  http://www.facebook.com/chuochamadini
You are all welcomed
2.Je umemaliza kidato cha nne na angalau una D 4 kwenye matokeo yako?. Tuma maombi ya kusoma masomo ya cheti utafutaji wa madini Julai 2013 katika Chuo cha Madini Shinyanga kwa ada maalum ya Shs. 1,400,000 badala ya 1,850,000
Mwisho wa ofa:  tarehe 31/05/2013. baada ya hapo ada ya kawaida itatumika
Masomo yanayofundishwa ni ya cheti na stashada katika fani ya utafutaji na jiolojia ya uchimbaji wa madini (certificate and diploma in exploration and mining geology)
Chuo kipo ndani ya mgodi wa mwadui na kimesajiliwa na nacte kwa namba reg/eos/041p
Mwombaji angalau awe na d 4 katika mtihani wake wa kidato cha nne.
Upatikanaji wa fomu:  fomu zinapatikana katika tovuti yetu, barua pepe (andika kichwa cha somo “Maombi ya Kusoma Utafutaji wa Madini Chuo cha Madini Shinyanga Julai 2013” ) au fika katika ofisi za chuo zilizopo ndala shinyanga
Tafadhali tembelea tovuti yetu www.esis.ac.tz au wasiliana nasi kwa namba 0752 990 586 kwa maelezo zaidi
Pia tunapatikana kwenye facebook kwa anuani hii  http://www.facebook.com/chuochamadini
Wote mnakaribishwa sana

3. KUTOKA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII:MAOMBI YA NAFASI ZA MAFUNZO MWAKA WA MASOMO 2013/14


http://4.bp.blogspot.com/-t3i_y_ZxRG0/UQI-j_Odb-I/AAAAAAACA50/2bI_MG72EaU/s1600/251px-Coat_of_arms_of_Tanzania.svg.png

Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii anakaribisha maombi ya kujiunga na kozi mbalimbali zinazotolewa na Wizara kwa mwaka wa masomo 2013/2014.
 1. Kozi zinazotangazwa ni:
A.                                                           Ngazi ya Stashahada:

  1. Afisa Afya ya Mazingira (Assistant Health Officer)
  1. Fiziotherapia (Physiotherapy)
  2. Fundi Sanifu Meno (Dental Laboratory Technologist)
  3. Mteknolojia Maabara (Laboratory Technician)
  4. Optometria (Optometry)
  5. Tabibu (Clinical Officer)
  6. Tabibu Meno (Dental Therapist)
  7. Uuguzi Daraja ‘’A’’ (Diploma in Nursing)


 1. Ngazi ya Cheti

  1. Fundi Sanifu Maabara Msaidizi (Laboratory Assistants)
  2. Mtunza kumbukumbu za Afya (Health Record Technicians)
  3. Tabibu Msaidizi (Clinical Assistants)
  4. Uuguzi Daraja ‘’B’’ (Certificate in Nursing)


 1. Mafunzo ya Tabibu kwa njia ya masafa (Distance Learning) kwa wale waliohitimu mafunzo ya Tabibu Msaidizi mwaka 2009.


 1. Muda wa Mafunzo:

  1. Miaka mitatu kwa kozi za Stashahada
  1. Miaka miwili kwa kozi za Ngazi ya cheti


 1. Sifa za Muombaji:

Waombaji watarajali (Pre-service):

  1. Awe raia wa Tanzania
  2. Awe amemaliza kidato cha nne au sita kati ya mwaka 2008 na kuendelea
  3. Ufaulu wa kidato cha nne uwe wa kiwango kisichopungua alama ya ‘C’, katika masomo ya Biologia na Kemia , na alama ‘D’ kwa somo la Fizikia kwa kozi za Stashahada . Alama hizi zipatikane katika kikao kimoja tu cha mitihani.
  4. Cheti chake cha kidato cha nne, kionyeshe ufaulu usiopungua point 28 kwa kozi za cheti. Aidha ni lazima awe na ufaulu usiopungua (minimum) alama ‘D’, kwa masomo ya Biologia, Kemia na Fizikia. Alama hizi zipatikane katika kikao kimoja tu cha mtihani.
  5. Kwa wale waliomaliza kidato cha sita na wanaohitaji kujiunga na mafunzo ya stashahada, wawe na alama isiyopungua ‘E’, kwa masomo ya Biologia, Kemia na Fizikia. Ufaulu huu uwe umepatikana katika kikao kimoja tu cha mtihani.
  6. Kufaulu somo la Kiingereza na Hisabati ni sifa ya nyongeza.

Waombaji wa Mafunzo ya Masafa (Distance learning:


 1. Wanaotakiwa kujiunga na Bridging course kabla ya kuendelea na masomo ya NTA 6 (Clinical Officer)

  1. Awe amemaliza kidato cha nne na kupata ufaulu wa angalau alama “D” katika masomo manne
  1. Awe na cheti cha kuhitimu mafunzo ya waganga wasaidizi vijijini mwaka 1999 na kurudi nyuma.


 1. Tabibu wasaidizi (NTA 5) Wanaotakiwa kuendelea na masomo ya NTA 6 (Clinical Officer)

  1. Awe amemaliza kidato cha nne na kupata ufaulu wa angalau alama “D” katika masomo manne.
  2. Awe na cheti cha kuhitimu mafunzo ya Tabibu wasaidizi (NTA 5) mwaka 2009.


 1. Utaratibu wa kutuma maombi:


 1. Fomu za maombi zitapatikana kwa wakuu wa kanda za mafunzo zilizoainishwa hapo chini (rejea kipengele Na. viii) chini, Waganga Wakuu wa wilaya na wakuu wa vyuo vya afya vilivyo chini ya Wizara.
 2. Waombaji wote watalipia fomu kwa sh. 15, 000/=. Risiti halisi ya Benki kwa ajili ya malipo haya, iwasilishwe pamoja na fomu za maombi. Kiasi hiki cha fedha hakitarejeshwa (Non refundable).
 3. Malipo yaingizwe kwenye akaunti ,‘Health Service fund’, Account No. 0111-030-12059 NBC  CORPORATE BRANCH.
 4. Maombi yatakayopokelewa na kufanyiwa kazi, ni yale yatakayoambatanishwa na risiti halisi ya malipo ya Benki, inayoonyesha kiwango cha malipo kilichotajwa hapo juu.
 5. Maombi ambayo hayataambatanishwa na hati ya malipo ya Benki(Pay in Slip) na kivuli cha cheti cha Baraza la Mitihani cha kuhitimu Elimu ya Sekondari, hayatafanyiwa kazi.
 6. Maombi yote yatapokelewa kupititia kanda za mafunzo baada ya malipo kufanyika kwenye akaunti iliyotajwa hapo juu.
 7. Fomu za maombi zijazwe na zitumwe kwa Katibu Mkuu, wizara ya afya na ustawi wa jamii,kupitia anwani za wakuu wa kanda kulingana na eneo muombaji alipo.
 8. Anwani za Wakuu wa Kanda ni kama zilivyoainishwa hapa chini:-


 1. Mratibu wa Kanda ya Mashariki (Mikoa ya Morogoro na Pwani) - Chuo cha Mafunzo ya Afya ya Jamii – S.L.P. 1060, Morogoro.


 1. Mratibu wa Kanda ya Magharibi (Mikoa ya Kigoma na Tabora) – Chuo cha Tabibu Wasaidizi, S.L.P. 458, Kigoma
 2. Mratibu wa Kanda ya Kusini (Mikoa ya Lindi na Mtwara)– Chuo cha Tabibu, S.L.P. 86, Mtwara.
 3. Mratibu wa Kanda ya Kaskazini (Mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga)– Chuo cha CEDHA, S.L.P.1162, Arusha..
 4. Mratibu wa Kanda ya Nyanda za Juu kusini Magharibi (Mikoa ya Rukwa na Mbeya) – Chuo cha Madaktari Waasaidizi, S.L.P. 1142, Mbeya.
 5. Mratibu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini (Mikoa ya Ruvuma na Iringa)– Chuo cha Afya ya Jamii, S.L.P. 235, Iringa.
 6. Mratibu wa Kanda ya Kati (Mikoa ya Singida na Dodoma) – Chuo cha Uuguzi Mirembe, S.L.P. 595, Dodoma.
 7. Mratibu wa Kanda ya Ziwa (Mikoa ya Mwanza, Mara, Kagera na Shinyanga) – Chuo cha Madaktari Wasaidizi, S.L.P. 11351, Mwanza.
 8. Mkurugenzi wa Taasisi za Sayansi Shiriki za Afya Muhimbili, S.L.P 65005, Dar-es-salaam.


 1. Utaratibu wa kutoa taarifa kwa waliochaguliwa:


 1. Wizara itakuwa na wajibu wa kuwataarifu wale wote watakaofanikiwa kuchaguliwa kujiunga na kozi mbalimbali kupitia magazeti, ‘website’ ya Wizara na mbao za matangazo Wizarani.


 1. Taarifa hizo zitatumwa pia kwenye kanda za mafunzo kama zilivyoainishwa hapo juu.

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30 Aprili, 2013.
 1. Muhula wa masomo unatarajiwa kuanza tarehe 1 Oktoba, 2013.

Imetolewa na:

Katibu Mkuu,

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,

S.L.P. 9083,

Dar es Salaam.

CHUO CHA MIPANGO DODOMA
Certificate in Rural Development Planning (CRP)
A candidate should have either
(i) A good Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with at least 4 passes in any subject.
Or
(ii) A good Basic Certificate from any registered institution by Government.

Diploma in Development Planning (DDP)

A candidate should have either
i) At least one principal pass in the advanced Certificate of Secondary Education Examination (ACSEE).
Or
(ii) A relevant Certificate with second class from any learning institution registered by the Government or any other body of the country of study.


Bachelor Degree in Regional Development Planning (BRP)
A candidate should have either
(i) At least two principal passes not below 4.5 points in the Advanced Certificate of Secondary Education Examination (ACSEE) in Mathematics, Economics, Geography, History and English based on the following grades to point conversion scale: A=5; B=4; C=3; D=2; E=1;S=0.5
Or
(ii) A relevant Ordinary Diploma with at least second class from any learning institution registered by the Government or any other recognized body of the country of study.


Bachelor Degree in Environmental Planning and Management (BEP)
A candidate should have either
(i) At least two principal passes not below 4.5 points in the advanced Certificate of Secondary Education Examination (ACSEE) in Mathematics, Economics, Geography, Chemistry, Physics, Biology and
Agriculture based on the following grades to point conversion scale: A=5; B=4; C=3; D=2; E=1;S=0.5
Or
(ii) A relevant Ordinary Diploma with at least second class from any institution registered by the Government or any other recognized body of the country of study.


Bachelor Degree in Population and Development Planning (BPP)
A candidate should have either
(i) At least two principal passes not below 4.5 points in the Advanced Certificate of Secondary Education Examination (ACSEE) in Mathematics, Economics, Geography, Chemistry, Physics, Biology, History and Religious studies based on the following grades to point conversion scale: A=5; B=4; C=3; D=2; E=1;S=0.5
Or
(ii) A relevant Ordinary Diploma with at least second class or Higher Diploma from any higher learning institution registered by the Government or any recognized body of the country of study.


Bachelor Degree in Development Finance and Investment Planning (BDF)
A candidate should have either
(i) At least two principal passes not below 4.5 points in the Advanced Certificate of Secondary Education Examination (ACSEE) in Mathematics, Accountancy, Commerce, Economics, Geography, History, English and Kiswahili based on the following grades to point conversion scale: A=5; B=4; C=3; D=2; E=1; S=0.5
Or
(ii) A relevant Ordinary Diploma with at least second class from the Institute of Rural Development Planning or any higher learning institution recognized by the Government or any other recognized accreditation body of the country of study.


Bachelor Degree in Human Resource Planning and Management
The candidate shall be deemed eligible for consideration for admission to a course leading to the Bachelor Degree in Human Resource Planning and Management award if he/she has obtained either Ordinary Diploma (NTA level 6, with at least lower second class for classified awards or a B average grade for unclassified awards) from IRDP or any other learning institution accredited by NACTE.
 OR
Advanced Certificate of Secondary Education (ACSEE) with a minimum of 4.5 grade points obtained from at least two principal passes and any subsidiary pass in Commerce, Geography, History and English.

Bachelor Degree in Urban Development and EnvironmentalManagement
The candidate shall be deemed eligible for consideration for admission to a course leading to the Bachelor Degree in Urban Development and Environmental Management award if he/she has obtained either Ordinary Diploma in Environment and Development, Development Planning and any other relevant field (NTA level 6, with at least lower second class for classified awards or a B average grade for unclassified awards) from IRDP or any other learning institution accredited by NACTE.
 OR
Advanced Certificate of Secondary Education (ACSEE) with a minimum of 4.5 grade points obtained from at least two principal passes and any subsidiary pass in Mathematics, Economics, Geography, Chemistry, Physics, Biology and Agriculture, History, Accountancy and Commerce.


Postgraduate Diploma in Environmental Planning (PGE)
Candidates for the Postgraduate Diploma Course in Environmental Planning should have acquired
any first degree or its equivalent academic qualifications from any higher learning institution registered by government or any recognized body of the country of study.


Postgraduate Diploma in Regional Planning (PGR)
Candidates for the Postgraduate Diploma Course in Regional Planning should have acquired any first degree or its equivalent academic qualifications from any higher learning institution registered by government or any recognized body of the country of study.


Postgraduate Diploma in Project Planning and Management (PGP)
Candidates for the Postgraduate Diploma Course in Project Planning and Management should have acquired any first degree or its equivalent academic qualifications from any higher learning institutions registered by government or any recognized bodies of the country of study.


Postgraduate Diploma in Governance and Sustainable Development (PGS)
Candidates for the Postgraduate Diploma Course in Governance and Sustainable Development should have acquired any first degree or its equivalent academic qualifications from any higher learning institution registered by government or any recognized body of the country of study.NATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT (NIT)
(Accredited by NACTE)
APPLICATION FOR ADMISSION INTO DEGREE, DIPLOMA AND CERTIFICATE PROGRAMMES FOR 2013/2014 ACADEMIC YEAR
National Institute of Transport invite applications from qualified Tanzanians and non Tanzanians for admission into various courses for 2013/2014 academic year.
1. BACHELOR DEGREE (NTA LEVEL 7-8) PROGRAMMES (DURATION- 3 YEARS)
(a) Bachelor Degree in Logistics and Transport Management
(b) Bachelor Degree in Procurement and Logistics Management
(c) Bachelor Degree in Human Resource Management
(d) Bachelor Degree in Business Administration
Entry requirements:
Two principal passes in ACSEE in any subjects other than religious subjects with an aggregate of 2.0 points for science and 3.0 points for art subjects or four (4) passes in the CSEE or possession of Ordinary Diploma (NTA Level 6) in any related field with at least Lower Second Class from a recognized Institution or Possession of any relevant Non - NTA Diploma with at least a lower second class or B grade or Possession of Diploma in Education /FTC with an average of at least C grade including Four (4) passes in CSEE excluding religious subjects.
(e) Bachelor Degree in Computing and Information Communication Technology
Entry requirements:
Two principal passes in ACSEE in any subjects other than religious subjects with an aggregate of 2.0 points for science and 3.0 points for art subjects and four (4) passes in the CSEE or
Possess Ordinary Diploma (NTA Level 6) in ICT related field with at least Lower Second Class
(f) (i) Bachelor Degree in Automobile Engineering
(ii) Bachelor Degree in Mechanical Engineering
Duration is 3 years for Diploma Holders and 4 years for Form Six Leavers.
2
Entry requirements:
Two (2) principal passes in ACSEE in relevant subjects: Mathematics, Physics and Chemistry with an aggregate of 2.0 points including Four passes in CSEE with at least a pass in Basic Mathematics Physics/Engineering Science and English, or Possess Ordinary Diploma (NTA Level 6) in Automobile/Mechanical/Electrical/Marine Engineering or Technical Education with at least Lower Second Class with at least Four (4) passes in CSEE excluding religious subjects, or Possession of FTC with at least an average of C grade from recognized institution, or Possession of Diploma in education in Physics/Mathematics/Engineering Science or Chemistry with an average of at least C grade including Four (4) passes in CSEE excluding religious subjects.
2. ORDINARY DIPLOMA (NTA LEVEL 5 - 6) PROGRAMMES
(DURATION 2 YEARS)
(a) Diploma in Logistics and Transport Management
(b) Diploma in Freight Clearing and Forwarding
(c) Diploma in Procurement and Logistics Management
(d) Diploma in Human Resource Management
(e) Diploma in Business Administration
(f) Diploma in Accounting and Transport Finance
(g) Diploma in Marketing
Entry requirements: One Year Technician Certificate (NTA Level 4) from NACTE recognized Institutions or Form six with at least ONE principal pass or TWO subsidiary passes in combination subjects.
(h) Diploma in Computing and Information Communication Technology
Entry requirements:
Four (4) passes in CSEE including Mathematics, English and Science subjects plus one year ICT related certificate course from NACTE recognized Institutions, or Basic Technician Certificate (NTA L4) in ICT related field or TWO principal passes in ACSEE including pass in Mathematics and English in CSEE, excluding religious subjects
(i) Diploma in Automobile Engineering
(j) Diploma in Mechanical Engineering
Duration - 2 years
3
Entry requirements:
Technician Certificate (NTA Level 4) in Automobile Engineering /Mechanical Engineering or any relevant field from NACTE recognized Institutions or ACSEE with at least ONE principal pass or TWO subsidiary passes of the combination subjects excluding religious subjects.
3. BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE (NTA LEVEL 4) PROGRAMMES (DURATION - 1 YEAR)
(a) Basic Technician Certificate in Logistics and Transport Management
(b) Basic Technician Certificate in Freight Clearing and Forwarding
(c) Basic Technician Certificate in Procurement and Logistics Management
(d) Basic Technician Certificate in Human Resource Management
(e) Basic Technician Certificate in Business Administration
(f) Basic Technician Certificate in Accounting and Transport Finance
(g) Basic Technician Certificate in Marketing
Entry requirements:
Three (3) passes in any subjects excluding religious subjects in the CSEE or Three passes in the CSEE with at least three years experience in the industry or Possess National Vocational Award Level 3.
(h) Basic Technician Certificate in Automobile Engineering
(i) Basic Technician Certificate in Mechanical Engineering
Duration: 1 Year
Entry requirements:
Four (4) passes in the CSEE including passes in Basic Mathematics, physics, or Engineering Science and English or possess a either Certificate of National Vocational Technical Awards and Trade Test Grade I.
.
(j) Basic Technician Certificate in Computing and Information Communication Technology
Entry requirements:
Four (4) passes excluding religious subjects in the CSEE including passes in Basic Mathematics and English Language or possess either National Vocational Technical Award and Trade Test Grade I.
4
4. INTERNATIONAL ADVANCED DIPLOMA, DIPLOMA AND CERTIFICATES
National Institute of Transport in collaboration with Chartered Institute of Logistics and Transport (CILT) of United Kingdom offers international professional training opportunities in Logistics and Transport Programmes.
(a) International Advanced Diploma in Logistics and Transport – 24 Months
Holders of International Diploma in Logistics and Transport (DILT).
(b) International Diploma in Logistics and Transport -12 Months
Holders of CILT International Certificate in Logistics and Transport or
Holders of ACSEE with at least one principal pass in any subject (except religious subject)
or Managers and Supervisors with at least two years work experience in the field.
(c) International Certificate in Logistics and Transport - 6 Months
Holders of CSEE with at least three (3) passes, or Managers and Supervisors with at least one year experience in the field.
(d) International Introductory Certificate in Logistics and Transport - 6 Weeks
Holders of CSEE with at least two (2) passes in any subjects (except religious subjects).
International Certificate, Diploma and Advanced Diploma courses will commence in August, 2013. Venue: National Institute of Transport. No deadline for application.
5. HOW TO APPLY:
5.1 The following applicants will apply through Central Admission System (CAS) coordinated by Tanzania Commission for Universities (TCU). More information is available at TCU website: www.tcu.go.tz
(a) All form six, FTC (NTA Level 6) and those who completed their Diploma in Teacher Education more than two years ago (2009 or before)
(b) All form six, FTC (NTA Level 6) and those who completed their Diploma in Teacher Education two years ago and later (2010 - 2013)
(c) Holders of Ordinary Diploma (NTA Level 6) recognized by NACTE.
5
5.2 The following applicants will apply directly to the National Institute of Transport (NIT):
(a) Degree holders intending to join other degree programmes offered at the Institute.
(b) Form six leavers who have attended one year certificate course which is recognized by NACTE.
(c) All applicants who wish to join CILT evening programmes.
(d) Diploma and Certificates applicants
EVENING PROGRAMMES:
All Certificate and Diploma courses under NACTE are also offered in the evening programme starting from 5.00pm -9.00 pm, Monday to Friday. Examinations for evening programmes are conducted together with examinations of full time programmes during day time. Evening students are required to set aside enough time for examinations which are scheduled from 8.00 am to 05.00 pm as no changes for the examination timetable will be done. CILT courses are also conducted in evening sessions from 5.00pm - 9.00 pm from Monday to Sunday.
Application forms can be collected from NIT Mabibo – Ubungo Campus or downloaded from the Institute website www.nit.ac.tz.
Application forms are obtained at a non-refundable fee of TShs 30,000/= Payable at NIT ECONOMIC PROJECT Account NO. 20501100008 - NMB or NIT Foreign Account NO.02J109593402- CRDB - PLC Vijana Branch and Bring a Bank Pay- in –Slip at the Institute Accounts Office and get a receipt.
Dully filled application forms with photocopies of relevant academic certificates/transcripts, birth certificates, Bank pay-in-slip and names of sponsors should be submitted before 28th June, 2013.
Unduly filled forms and those without the mentioned supporting documents will not be considered for being short listed.
THE DIRECTOR,
NATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT (NIT),
P.O. BOX 705, Tel: +255 22 2400148
DAR ES SALAAM. Fax: +255 22 2443149
TANZANIA Email: info@nit.ac.tz
Website: www.nit.ac.tz


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI
WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO
(Livestock Training Agency - LITA)
1. Wakala wa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo (LITA) inatangaza nafasi za
mafunzo katika ngazi ya Astashahada na Stashahada kama ifuatavyo:
· Stashahada ya Afya na Uzalishaji wa Mifugo (Diploma in Animal
Health and Production - DAHP)
· Astashahada ya Afya na Uzalishaji Mifugo (Animal Health and
Production Certificate - CAHP).
· Astashahada ya ufundi sanifu wa maabara (Certificate in
Veterinary Laboratory Technology)
2. Katika mwaka wa fedha wa 2012/2013, Serikali kupitia Wakala wa
Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo (LITA) itatoa mafunzo kwenye kampasi
zake sita ambazo ni Tengeru, Mpwapwa, Morogoro, Buhuri, Madaba na
Temeke na kuna jumla ya nafasi za mafunzo 875 kwa mwaka wa
kwanza. Kampasi ya Temeke haina malazi hivyo watakaojiunga itabidi
wajitegemee kwa malazi.
Serikali itagharamia mafunzo kwa sehemu kubwa na wazazi / walezi
watachangia. Aidha, kutakuwa na nafasi chache zitakazotolewa kwa
wanafunzi watakaopenda kujigharamia (private students).
3. Wakala inakaribisha maombi kutoka kwa vijana waliomaliza Kidato
cha Sita na wale wenye Astashahada katika fani zinazohusiana na kozi
wanazoomba kwa ajili ya kujiunga na mafunzo ngazi ya Stashahada.
Pia vijana waliomaliza Kidato cha Nne wanaalikwa kuomba kujiunga
na mafunzo ngazi ya Astashahada.
TANGAZO LA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA ASTASHAHADA NA
STASHAHADA KATIKA WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA
MIFUGO (Livestock Training Agency - LITA) KATIKA MWAKA WA
MASOMO 2012 / 2013.
Kampasi zitakazohusika na mafunzo hayo ni kama inavyooneshwa
kwenye jedwali hapa chini:
NA KAMPASI ANUANI KOZI
ZITOLEWAZO
1 TENGERU S.L.P 3101 Arusha DAHP & CAHP
2 BUHURI S.L.P 1483 Tanga DAHP
3 MPWAPWA S.L.P 51 Mpwapwa DAHP & CAHP
4 MOROGORO S.L.P 603 Morogoro DAHP & CAHP
5 MADABA S.L.P 568 Songea DAHP & CAHP
6 TEMEKE S.L.P 9254 DSM CVLT (Kutwa)
4. Sifa za mwombaji
i) Stashahada
· Awe amemaliza na kufaulu elimu ya Kidato cha Sita na kufaulu
masomo matatu ya Sayansi kati ya Baiolojia, Kemia, Fizikia, Hisabati
na Sayansi ya Kilimo. Kiwango cha chini cha ufaulu
kitakachomwezesha muombaji kukubaliwa ni cha subsidiaries mbili
kwenye masomo ya sayansi.
AU
· Awe amemaliza mafunzo ya cheti (Astashahada) katika fani ya Animal
Health and Production (AHPC), Agrovet au Certificate in Agriculture
and Livestock Production (CALP)
ii) Astashahada
Awe amemaliza Kidato cha Nne na kufaulu masomo matatu ya sayansi
kati ya Baiolojia, Kemia, Fizikia, Hisabati na Sayansi ya Kilimo.
5. Masharti ya Uombaji
· Mwombaji atume maombi ya kozi anayotaka kusomea akiambatanisha
nakala (photocopies) za vyeti vyake vya elimu, pamoja na cheti cha
kuzaliwa.
· Watakaochaguliwa watatumiwa fomu za kujiunga na Chuo (joining
instructions) zitakazowajulisha tarehe ya kuanza masomo na masuala
mengine muhimu. Ni muhimu kuweka anuwani sahihi na namba za
simu ya mkononi katika barua ya maombi.
6. Gharama za Mafunzo
· Mwanafunzi anayechangiwa na Serikali: Mzazi / Mlezi atachangia
Tshs 500,000 kwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza na Tshs
400,000 kwa mwanafunzi wa mwaka wa pili na Serikali itachangia
Tshs. 1,880,000 kwa mwaka wa kwanza na Tshs. 2,196,000 kwa
mwaka wa pili.
· Mwanafunzi anayejilipia kulala chuoni (private boarding
student) – Tshs. 1,880,000 kwa mwaka wa kwanza na Tshs.
2,196,000 kwa mwaka wa pili.
· Mwanafunzi anayejilipia kulala nyumbani (private day student)
– Tshs. 1,165,000 wa mwaka wa kwanza na Tshs. 1,688,000 kwa
mwaka wa pili.
· Mchanganuo wa fedha hizi umeainishwa kwenye fomu za kujiunga na
chuo ‘Joining Instructions’.
7. Utaratibu wa kutuma maombi
Maombi ya kujiunga na mafunzo yatumwe kwa:
KAIMU MTENDAJI MKUU
WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO
S.L.P 9152
DAR ES SALAAM
8. Mwisho wa kupokea maombi
Mwisho wa kupokea maombi ya kujiunga na masomo ni tarehe
30.06.2012.
9. Taarifa kwa watakaochaguliwa
Majina ya watakaochaguliwa yatatangazwa kwenye magazeti ya Habari
Leo na Daily News na kwenye tovuti ya Wizara: www.mifugo.go.tz
(Home page: Click: Livestock ResearchCoordination, Training and
Extension)

TANGAZO LA KUANZISHWA KWA KOZI MPYA KWA NGAZI YA
CHETI NA STASHAHADA KWENYE CHUO KIKUU CHA MWENGE
Chuo Kikuu cha Mwenge kinapenda kuwatangazia umma kwamba muda wa kuomba kujiunga na Kozi za Cheti na Stashahada umeongezwa hadi JULAI 15 na pia kumefanywa marekebisho katika SIFA ZA KUJIUNGA kwa baadhi ya kozi mpya.
Kozi ambazo sifa za kujiunga zimefanyiwa marekebisho ni hizi zifuatazo:
1. Certificate in Business Administration (Mwaka Mmoja)
Mahitaji ya Kujiunga na Kozi hii:
a) Mwombaji awe amemaliza kidato cha NNE na kufaulu angalau Masomo Matatu [The prerequisites for the Certificate Programme in Business Administration are a Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) or any other qualifications equivalent to this with at least three passes].
b) au awe amemaliza kidato cha nne na kuchukua kozi iliyompatia cheti miezi isiyozidi mitatu iliyopita katika eneo analoomba kujiunga)
2. Diploma in Business Administration (Miaka Miwili)
Mahitaji ya Kujiunga:
a) Mwombaji awe amemaliza kidato cha nne na ufaulu usiopungua masomo matano au masomo mengine yanayolingana na haya [certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with the minimum of FIVE PASSES OR any other qualification equivalent to this]
b) Au aliyemaliza kidato cha nne na ufaulu wa masomo pungufu ya matano pamoja na kuwa na cheti cha somo analotaka kusomea kutoka kwenye chuo kinachotambulika [certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with less than Five Passes PLUS a Certificate from an accredited institution]
c) Au Aliyemaliza kidato cha Sita na (i) ufaulu wa Principal Pass moja na Subsidiary moja (ii) Au ufaulu wa Subsidiary katika masomo matatu (iii) au Subsidiray pass mbili kwenye Kidato cha Sita na Miaka Miwili ya ujuzi katika eneo analoomba kujiunga.
3. Certificate in Accounting (Mwaka Mmoja)
Mahitaji ya Kujiunga na Kozi hii:
c) Mwombaji awe amemaliza kidato cha NNe na kufaulu angalau masomo matatu yakiwepo masomo ya Kiingereza na Hisabati (kiwanga cha “D” au juu zaidi)
d) au awe amemaliza kidato cha nne na kuchukua kozi iliyompatia cheti miezi isiyozidi mitatu iliyopita katika eneo analoomba kujiunga)
4. Masomo mengine ya Cheti na Stashahada ambayo tayari yanafundishwa chuoni Mwenge ni: Certificate and Diploma in Computer Science.
5. Chuo Kinatoa pia Shahada za Uzamili (Master of Education)
KAPS COMMUNITY DEVELOPMENT COLLEGE
TANGAZO
NAFASI ZA MASOMO KWA MWAKA 2013/2014
CHUO KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO KWA NGAZI YA CHETI, MAFUNZO HAYO YATANZA TAREHE 4 /03/2013
SIFA ZA MWOMBAJI
AWE AMEHITIMU KIDATO CHA NNE NA KUFAULU MASOMO MANNE YAANI (PASS 4) AU D 4 KATIKA MASOMO ALIYOSOMA
AU
AWE AMEMALIZA CHOU CHA UFUNDI VETA AMBACHO KIMESAJILIWA NA VETA NA KUTUNUKIWA NATIONAL VOCATIONAL AWARD LEVEL 3(NVA 3)
USAJILI
CHUO KIMESAJILIWA NA NACTE KWA NAMBA ZA USAJILI: REG/PWF/047P
FORM ZINAPATIKANA CHUONI MAFINGA ENEO LA SABASABA, NYALATI STATIONARY MAFINGA MJINI,
GWIVAHA STATIONARY KARIBU NA M.R HOTEL IRINGA MJINI,
SONGEA MJINI FORM ZINAPATIKANA DELUX ONE KWA MUSHI
OFISI ZOTE ZA MAENDELEO YA JAMII ZA WILAYA TANZANIA BARA.
MWISHO WA KURUDISHA FORM NI TAR 15/02/2013
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU NO: 0762 288 367, 0784367632, 0655288367
Email: kapscollege@yahoo.com web: www.kapscollege.wordpress.com

TANZANIA INSTUTE OF ACCOUNTANT (TIA)


Application for admission 2013/2014

TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY
TRAINING OPPORTUNITIES FOR 2013/2014 ACADEMIC YEAR
The Chief Executive Officer of Tanzania Institute of Accountancy invites applications from qualified candidates for the admission to the following training opportunities for 2013/2014 academic year.
    1.0 Basic Technician Certificate Programmes (NTA Level 4): (One academic year / Two semesters)
(i) Basic Technician Certificate in Accountancy (BTCA) – DAR ES SALAAM, MBEYA, SINGIDA, MTWARA &   MWANZA (Full time and Evening)
(ii) Basic Technician Certificate in Procurement and Logistics Management (BTCPLM) - DAR ES SALAAM, MBEYA, SINGIDA, MTWARA &   MWANZA (Full time and Evening)
(iii) Basic Technician Certificate in Human Resource Management (BTCHRM) - DAR ES SALAAM, MTWARA, &SINGIDA   (Full time)
(iv) Basic Technician Certificate in Business Administration (BTCBA) – DAR ES SALAAM, MTWARA & SINGIDA (Full time) 
Minimum entry requirements:  Four passes of grade “D”in relevant subjects excluding Nutrition, Religious subjects and Needlework or above in the Ordinary Certificate of Secondary   Education. OR NVA LEVEL 2
 2.0  Diploma Programmes    (NTA Level 5 & 6 ): (Two academic years / Four Semesters)
(i) Diploma in Accountancy (DA) - DAR ES SALAAM, (Evening) MBEYA, SINGIDA, MTWARA & MWANZA (Full time and Evening)
(ii) Diploma in Procurement & Logistics Management (DPLM) DAR ES SALAAM (Evening)    MBEYA, SINGIDA, MTWARA &   MWANZA (Full time and Evening)
(iii) Diploma in Business Administration (DBA) – MTWARA & SINGIDA (Full time) DAR ES SALAAM(Evening)      
(iv) Diploma in Human Resources Management (DHRM)- MTWARA & SINGIDA, (Full time) DAR ES SALAAM( Evening)
Minimum entry requirements:
(i) Basic Technician Certificate in related programmes.
Certificates from other institutes will be evaluated by the institute
(ii) Advanced Certificate of Secondary Education with at least two subsidiary passes in relevant subjects excluding Religious Subjects.                                    
3.0  Bachelor Programmes  (NTA Level 7 & 8 ):   (Three academic years / Six semesters)
(i) Bachelor in Accounting (BAC)    - DAR ES SALAAM (Full time and Evening)
(ii) Bachelor  of Procurement and logistics Management  (BPLM) -  DAR ES SALAAM (Full time and Evening)
(iii) Bachelor of Human Resource management (BHRM) -  DAR ES SALAAM (Full time and Evening)
(iv) Bachelor of Business Administration (BBA)- DAR ES SALAAM (Full time and Evening)
 Minimum entry requirements:
(i) At least Two (2) Principal passes (in relevant subjects excluding Religious subjects) in the Advanced Certificate of Secondary Education (ACSE)) and, with total points not below 3.5 passed on the following scale:
A=5, B=4, C=3, D=2, E=1, S=0.5;
In addition candidates must have passed ENGLISH and MATHEMATICS at ‘O’ level for BAC and BPLM.
                                                  OR
(ii) FTC with at least C grade in relevant subjects.
                                                   OR
(iii) Ordinary Diploma with Upper second or at least B grade in relevant subjects. For NTA 6 GPA of not less than 2.7
 NOTE: This category should apply through Central Admission System.
 4.0 Post Graduate Programmes: (One academic year / Two semesters)
(i) Post graduate Diploma in Accountancy (PGDA)   - DAR ES SALAAM, MBEYA & MWANZA (Full time and Evening)
(ii) Post graduate Diploma in Procurement and logistics Management (PGDPLM) - DAR ES SALAAM, MBEYA & MWANZA (Full time and Evening)
 Minimum entry requirements:
(i) Bachelor or Advanced Diploma in Accounting or Procurement from any reputable institution
OR
(ii) NBAA’s CPA or PSPTB’s CPSP
All Programmes start in September 2013. Dully filled application forms should be returned not later than 30th May 2013.

 MODE OF APPLICATION

(a) Application forms can be downloaded at www.tia.ac.tz (Admisssion Menu) and submitted to any of our Campuses DAR ES SALAAM, MBEYA, SINGIDA, MTWARA & MWANZA OR sent to CHIEF EXECUTIVE OFFICER P.O. BOX 9522, DAR ES SALAAM. Forms must be accompanied by evidence of payment of non refundable fee of Twenty thousands shillings (Shs.20,000/=). Applicants should pay the application fee through our Bank Account No. 2061100017 NMB and submit Bank Pay-in-slip to the Institute.
(b) All applications must be attached with genuine photocopies of all academic certificates/results Slips, transcripts, Statement of results or relevant certificates where applicable. Candidates are warned not to attach photocopies of forged certificates or irrelevant Information on their application forms otherwise they will not be considered and legal action will be taken against them
(c) Candidates should return to the undersigned, the Application Forms duly filled not later than 30th May  2013
(d) Candidates who wish to apply for Bachelor Programmes should apply direct through Central Admission System (CAS) at the following link http://cas.tcu.go.tz
(e) All enquiries about admission should be addressed to;
 Chief Executive Officer
Tanzania Institute of Accountancy
Junction of Nelson Mandela and Kilwa Road
P.O. BOX 9522,
Tel: 022-2851035/37
Fax: 022 – 2851038.
Email: tia@tia.ac.tz
DAR ES SALAAM


MBEYA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY

D. ORDINARY DIPLOMA IN BUSINESS ADMINISTRATION

Two programs are offered: - (i) Full time program, (ii) Evening Classes program
(a) Course Duration: 3 Academic years.
(b) Entry Requirements:
Possession of Certificate of Secondary Education (CSEE) with not less than four
passes
E. PRE-ORDINARY DIPLOMA ACCESS COURSE FOR ENGINEERING ,
LAB TECHNOLOGY AND ARCHITECTURE
(To be conducted at Mbeya University of science and Technology and
at the following centres: Iringa (VETA), Songea (VETA), Mpanda (VETA)
The program targets female candidates who do not qualify under direct entry
scheme for admission to Ordinary Diploma Programs, males may also apply. Upon
passing the final examinations, female candidates will be sponsored by the
Government (Only those with outstanding performance), whereas male candidates
will be required to arrange for their own private sponsorship.
(a) Course Duration: 10 weeks
(b) Entry Requirements:
(i) Possession of Certificate of Secondary Education with minimum pass of D
grade in Mathematics, Chemistry and Physics/Engineering Science
OR
(ii) National Vocational Awards (NVA) Level 3 or Trade Test I from recognized
Vocational Training Centre with a good certificate of secondary education.
F. MATURE AGE ENTRY EXAMINATION TO ORDINARY DIPLOMA IN
ENGINEERING AND ARCHITECTURE.
Requirements
In order to qualify for the examination a candidate must meet the following
qualifications:-
(a) Must be aged 25 years and above.
(b) Must be a holder of a certificate of secondary education (CSEE) or General
Certificate in Engineering certificate (GCE) with passes in Mathematics and
Physics/Engineering Science.
(c) Holder of a good certificate of secondary education with possession of NVA Level
III issued by VETA.
MODE OF APPLICATION
i. Application forms can be obtained from the office of the Registrar, Mbeya Institute of
Science and Technology or can be downloaded from the website: www.mist.ac.tz
ii. Application forms should be returned accompanied with a non-refundable application
fee of Tshs. 20,000/= payable to: The Principal, Mbeya Institute of Science and
Technology through Account Number: 6101100022, NMB –Mbalizi Road Branch,
Mbeya
CLOSING DATE
The closing date for receiving the Application Forms is 30th May 2013
WARNING
It is an offence to submit false information or forged certificates. Any applicant who will be
discovered to have submitted such information will not be considered and appropriate
legal action may be taken.
ENQUIRIES AND ADDRESS
Applications and all enquiries should be addressed to:
The Principal,
Mbeya University of Science and Technology (MUST),
P. O. Box 131,
Mbeya,
Tanzania.
Tel: +255 (0)25 2503451/ 2502861/2503016/7
Fax: +255 (0)25 2502302
Email: principal@mist.ac.tz or mist@mist.ac.tz
Website: www.mist.ac.tz


HOW TO JOIN VETA TRAINING CENTRES
 • This part relates to those centres which are owned, managed and financed by VETA itself. Other VET centres have their own modes of inviting and processing applications, albeit within the  general harmonised format nationally.
 • Joining VETA Centres:
Entry Qualifications                                                                                                  Minimum qualifications for the applicants are:                                                                            i.  A holder of at least primary school leaving certificate,                                                            ii  Age not less than 15 years,                                                                                                  iii. And passed the entrance examination or test in skills, Science, Maths and English. 
Application Forms                                                                                                              Forms are available from the Centre or downloaded from this website. The process starts from    1st August to 30th September, each year.  The form is available at TShs. 3000/= from the Centre subject to changes of the day; for those downloaded from the Internet will be taken to the nearest Centre for the payment of the same amount. The form is filled accordingly and candidates may indicate three subjects of study by order of preference.  Candidates should indicate to where they would like to undertake their studies if it is different place to that of prequalification exercise.
 Entry Examinations                                                                                                     Candidates are required to sit for the entry examination. This is a prequalification exercise with an element of assessing aptitudes. Dates, venues and conditions for these examinations are given in the application form. 
The Selection process.                                                                                                       Successful applicants shall be informed in writing and given joining instructions which also indicate the payment of training fees.  This process is normally completed by the end of November each year, and joining instructions for those who passed and qualify are issued in December.
Enrolment process                                                                                                             The VETA year starts in January, and by the 10th of the month, studies are normally in progress. Candidates may choose to be boarders or day students.


No comments:

Post a Comment